About Us

Tangazo la Zabuni

Tangazo la Zabuni

Kusogezwa mbele muda wa maombi ya zabuni

Chama Kikuu cha Ushirika Nyanza (184) Ltd . Kinapenda kuwatangazia wazabuni wote wenye sifa kuendelea kuleta maombi yao ya zabuni, maelezo yote yanapatikana kwenye tangazo hapo chini jinsi ya kupata makabrasha ya zabuni hizo najinsi ya kutuma kabrasha hizo zikiwa zimejazwa taarifa zote muhimu .

Download Attachment